ARITHMETIC ASSISTANT, MSAIDIZI WA HESABU II – 1 POST Halmashauri ya Mji Bariadi

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD MWANACHUO APP

MSAIDIZI WA HESABU II – 1 POST Halmashauri ya Mji Bariadi

APPLICATION TIMELINE:2020-09-01 2020-09-14

POST DETAILS

POSTMSAIDIZI WA HESABU II – 1 POST
POST CATEGORY(S)ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYERHalmashauri ya Mji Bariadi
APPLICATION TIMELINE:2020-09-01 2020-09-14
JOB SUMMARYN/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

      i.        Kuandika na kutunza  register zinazohusu shughuli za uhasibu;    ii.        Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi ya fedha;   iii.        Kutunza majalada yenye kumbukumbu za hesabu;   iv.        Kupeleka barua /nyaraka za uhasibu Benki;    v.        Kufanya usuluhisho wa masurufu,karadha,Hesabu za Benki na Amana; na   vi.        Kufanya  kazi  nyingine  za  fani  yake  atakazopangiwa  na  mkuu  wake  wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCEREMUNERATION

Kuajiriwa  wenye  Astashahada  ya  Uhasibu  kutoka  chuo kinachotambulika na Serikali au cheti cha ATEC level I kinachotolewa  na NBAA, au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA
REMUNERATIONTGS B

TO APPLY CLICK HERE 

SHERE
YOU CAN READ >>  Job Vacancies At Nzega District Council

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD MWANACHUO APP