Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

HESLB: KUHUSU WANAFUNZI WANAONDELEA NA MASOMO VYUONI BILA KUWA NA SIFA

Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu (Heslb) imeeleza kuwa wanasubiria kupatiwa orodha ya majina ya wanafunzi na TCU ambao wako vyuoni wakiendelea na masomoya elimu ya juu bila kuwa na sifa ili kuwabaini.
Sign In or Register to comment.