Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

Waziri Ndelichako Alikurupuka

Najaribu kutathimini ahadi zote zilizoahidiwa na Mhe Ndalichako na utekelezaji wake kwa wakati. Tukianza na suala la mtihani wa taifa kwa darasa la pili, halikutekelezwa, kwani wanafunzi walifanya mitihani ya kawaida. Swala la matokeo ya kidato cha nne kutoka kabla ya mwaka mpya, nalo halikutekelezwa, kwani mpaka sasa matokeo hayajatoka. Swala la mikopo kwa elimu ya juu bado linasuasua, kwani wanafunzi wengi bado ni tatizo kubwa kwao. Na mengineyo, hii inaonyesha Waziri Ndalichako alikuwa anafanya maamuzi mengine kwa kukurupuka.
Sign In or Register to comment.