Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

'Scorpion' aongezewa shtaka jingine

Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP) amemuongezea shtaka lingine mshitakiwa Salum Njwete maarufu kama Scorpion na sasa atakuwa na mashtaka mawili ya unyang'anyi kwa kutumia silaha na shtaka la kujeruhi.
Tagged:
Sign In or Register to comment.