Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

Dadapoa 25 mbaroni kwa kujiuza Moshi


Wanawake 25 wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara ya kuuza miili maarufu kama dadapoa katika maeneo mbalimbali ya mji wa moshi wanashikiliwa na polisi. Kamanda wa polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Koka Moita amesema watu hao walikamatwa Novemba 26 saa mbili usiku kwenye maeneo ya katikati ya mji katika operasheni ya kutokemeza bishara hio haramu.

Comments

Sign In or Register to comment.