Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

In this Discussion

Kauli ya Profesa Ndalichako yakumbana na vijembe


Mpango wa kuzuia watu wasiopitia elimu ya juu ya sekondari kujiunga na vyuo vikuu imekumbana na vijembe kutoka kwa wadau wa elimu ambao wamesema serikali haipaswi kuwashurutisha wanainchi kupitia mfumo huo uliotangazwa na Waziri wa elimu, Profesa Joyce Ndalichako.
Akihutubia kwenye mahafali ya chuo kikuu huria (OUT), Profesa Ndalichako alisema kuanzia sasa watu wote watakaotaka kujiunga na vyuo vikuu ni lazima wasome kidato cha tano na sita. "Foundation course hazimuongezei mtu sifa ya kujiunga na chuo kikuu. Kuweza kujiunga na chuo kikuu mtu atatakiwa afaulu mtihani wa kidato cha sita, kama amefeli baraza la mitihani wanaruhusu mtu kurudia", alisema Profesa Ndalichako.

Comments

Sign In or Register to comment.