Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

Chadema yaja na operesheni mpya


Chama cha demokrasia na maendeleo kimetangaza operesheni mpya na mwanyeketi wake ndugu Freeman Mbowe ikilenga kukipa chama hicho mafanikio katika uchaguzi wa serikali za mitaa na ule mkuu.
Mbowe amesema hayo katika kikao cha uchaguzi cha mwenyekiti wa kanda wilayani Masasi mkoani Mtwara. "Kiongozi yeyote atakayeonyesha nia ya kutukwamisha hatutamvumilia, tutamuondoa ili tuweze kuendelea na safari yetu na kumaliza kutembelea kanda zote", amesema.
Amesema ziara hizo ndizo zitakazoipa nafasi chama hicho kuchukua maeneo memngi zaidi hasa katika Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.
Sign In or Register to comment.