Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

Tanzania, Kenya zashirikiana kutafiti mmea hatari nchini

edited November 2016 in Agriculture

Tanzania na Kenya zimeungana Arusha kutafuta njia mbadala ya kutokomeza mmea wa sumu uliogundulika kuwa na madhara kwa binadamu, wanyama na mazao mengine.
Mmea huo unadaiwa kupatikana katika maeneo mbalimbali na unajulikana kama 'Guru Karoti' kwa kitaalamu 'parthenium hysterophorus' ambao ulianza kuonekana inchini mwaka 2010 mkoani Arusha.
Sign In or Register to comment.