Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

Muda sasa ufike Watanzania tukubariane kuendana na mabadiriko ya Magufuli

Maisha ya kulalamika maisha ni magumu, hayana budi kufika kikomo. Serikali imeshaamua kubana matumizi na wanainchi hawana budi kwenda sawia na matakwa ya awamu ya tano inayoongozwa na Raisi Magufuli.
Tangu raisi alipoingia madarakani, amekuwa akihubiri kuwa "mtu asiyefanya kazi na asile", huku akihimiza kila mwanainchi kuchapa kazi kwa bidii ili kujipatia kipato ambacho kitamwezesha kulipa kodi halali.
Sign In or Register to comment.