Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

Tusiilaumu sana awamu ya tano, makosa makubwa sana yalifanywa na awamu ya nne.

Awamu ya nne imeachai madeni makubwa, kingine walikuwa wakitoa ahadi wakijua hawatazitekeleza, kumbuka kampeni za uchaguzi mwaka 2010, waliahidi mengi kuwaamanisha wanainchi wawachague ilihali haikuwa kweli, kabla ya uchaguzi walipitisha mambo mengi bila kuyafanyia tathmini ya kutosha wenyewe walilenga tu kushinda uchaguzi sasa awamu ya tano ndio inabeba zigo lote. Kinachonisikitisha watu hawalioni hili na ata kama serikali ya awamu ya tano imeonesha mapenzi ya dhati ya kuwatumikia wanainchi bado tu watu wana kinyongo sasa nyie mlitakaje?
Sign In or Register to comment.