Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

Wataalamu wa computer nisaidieni jamani

Na computer Dell core i5, ni computer kubwa tu in RAM 8GB, na HD 1TB, sasa nashindwa kuelewa nimewekewa antivirus majuzi tu na wakasema inafanya kazi kwa ufanisi mkubwa inaitwa kaspersky, ila cha kushangaza computer yangu ipo slow na ina dalili za kuwa na virus sasa nifanyeje jamani?
Tagged:

Comments

Sign In or Register to comment.