Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

Computer Software

Nahitaji ku download programs na window
je nifanyeje? ?

Comments

  • @benitasha Inategemea unatumia computer ya aina gani na unahitaji window ya aina gani, kama ni window xp basi tumia cd, kama ni window 7 unaweza kutumia cd au flash ila lazima uwe na setup kudownload si rahisi maana file ni kubwa nunua tu kwa mafundi ya computer setup ya window bei inaweza kuwa 5000 hadi 10000 kukuwekea kwenye CD. Kama ni window 8 unaweza pia kupata setup kutoka kwa wale wenye nazo ila yenyewe si mpaka CD, unaweza ku install kwa kupitia computer yenyewe kama tu unavyoweza kuweka program zingine, kuhusu software nyingine tafadhari unaweza kutembelea tovuti ifuatayo http://www.brothersoft.com/
  • @Africaner safi sana hivi kama computer yangu nimeiwekea antivirus ila bado inasumbua nifanyeje?
Sign In or Register to comment.