Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

Nachukia Sana Sera Ya Elimu Ya Tanzania Kwakuwa Haieleweki Kila Siku Mabadiriko

Shauri yangu ambaye nipo chuo cha private nishaambiwa ajila nitajitaftia mwenyewe tena kwenye taasisi za private.
elimu gani inabadilika kila siku toka, Division, BRN, GPA nakuludi tena uzamani.
mikopo akuna, ajira hakuna.
Poleni wana Art ukipata three form six upo sawa na mwenye four hadi ziro.
diploma in primary wametoa baada ya kuzuia wanao unganisha vyeti.
Nachukia Sana Sera Ya Elimu Ya Tanzania Kwakuwa Haieleweki Kila Siku Mabadiriko Utafikili Wanaamua Bila Kukaa Kwanza.
Mimi Niliye Soma Nazidiwa Na Tuliye Achana Toka Naanza Kidato Cha Kwanza Nikijidai Nimeshinda Nikimucheka Aliyeshindwa Wakati Sasa Ana Miliki Gari Na Mimi Kila Siku Natembea Na Mabahasha Kutafta Kazi.

Imeandikwa na @Chita Zeplatnum

Comments

  • Chuki haijengi @Chita Zeplatnum lazima tutafute uvumbuzi wa hili suala sio tu kuweka chuki, ni kweli unayoyasema hii hali inakera ila kuhusu mabadiriko haya mapya yanalenga kuboresha elimu yetu, tuipe muda wizara tuone ni mapema sana kulaumu awamu ya tano kuhusu mfumo mpya wa elimu.
  • Elimu yetu imekua kwenye TRIAL kwa mda sasa,nazani tunachokitafuta tunakaribia kukipata,tuzidi kuwavumilia 3decades to come may be they will make
  • @Moses mimi namuunga mkono @Vailethtz kwakweli awamu ya nne ni kama ilitaka kuua elimu, awamu ya tano haikuwa na jinsi zaidi ya kufuta ule upuuzi wa GPA na BRN, nasema kweli kabisa GPA ni mfumo wa elimu ya chuo kikuu sio secondary education, mbali na hapo huyu mtu alitoa division 0 na kuita F, kwakweli tulikuwa tunakwenda kupoteza elimu yetu, big up mama yetu Ndelichako, najua wengi hawajaelewa ila mtakuja kuona matokeo mazuri.
  • Tusubiri tuone kama awamu ya tano itafanya vyema kwenye elimu.
Sign In or Register to comment.