Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

Ubovu wa miundombinu utapunguza watalii Ruaha.


Kaimu Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, Moronda Moronda ameiomba serikali kuweka kipaumbele katika kuboresha miundombinu ya barabara zinazotumika kwenye hifadhi ili kuongeza pato la taifa. Alisema ubovu wa barabara ni kikwazo cha watalii wanaotembelea hifadhi ya Ruaha. Alisema watalii wamekuwa wakilalamika ubovu wa barabara hiyo.
Sign In or Register to comment.