Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

Panya waipiku maabara kwa kupima TB


Panya buku wanaotumika kupima ugonjwa wa kifuu kikuu(TB) wameonekana kuwa na uwezo mkubwa kuliko vipimo vya hospitalini. Panya hao wanaweza kupitia sampuli 100 na kutoa majibu ya uhakika ndani ya dakika 20. Wanyama hao waliopewa mafunzo na kutunzwa na shirika lisilo la kiserikali la Apopo, wamegundua wagonjwa 10,000 ambao vipimo vya hospitali havikuonyesha kama wan augonjwa huo. Pia wana uwezo mkubwa wa kutambua mabomu yaliyofukiwa ardhini.

Comments

Sign In or Register to comment.