Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

Bodi ya Mikopo yawaponza wanafunzi 1000 chuo cha SAUT Mwanza


Wanafunzi 1132 wa chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine(Saut), cha Mwanza hawatapewa matokeo ya kuhitimu shahada wala kushiriki katika mahafali baada ya bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu(HESLB) kutolipa ada zao za mwaka huu wa masomo. Kwa mujibu ya orodha ya wanafunzi iliyobandikiwa katika ubao wa matangazo chuoni hapo, ni wanafunzi 933 tu watakaoshiriki katika mahafali yaliyopangwa kufanyika Desemba 16 na 17.
Sign In or Register to comment.