Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

Twaweza: Elimu bure imeongeza ubora wa elimu

edited November 2016 in Education

Taasisi ya Twaweza imefanya utafiti na kubaini kuwa asilimia 50 ya wanainchi waliohojiwa wanasema ubora wa elimu umeongezeka tangu mfumo wa elimu ada ulipoanzishwa.
Mkurugenzi mtendaji wa Twaweza Aidan Eyakuze amesema idadi hio ya wanainchi ni kati ya 1806 waliohojiwa Tanzania bara. Amesema asilimia 35 wamesema ubora umebaki palepale na wengine asilimia 15 wamesema ubora umeshuka.
Utafiti huo umefanyika kati ya Agosti 7na 14 mwaka huu.
Sign In or Register to comment.