Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

Mahojiano ya Raisi Magufuli na wandishi wa habari hayakugusia suala mikopo ya elimu ya juu

edited November 2016 in Education
Hawa wandishi wa habari walikuwa wamakazania tu tanzania ya viwanda na kusahau bila wasomi bora inchi ya viwanda ni ndoto ya mchana kweupe. Watu wamekalia mambo ya udikteta na viwanda badala ya kuongelea mambo yanayohusu elimu ya juu pia, kama suala mikopo ambalo limekuwa kitendawili, waliopata mikopo na njinsi uteuzi ulivyofanywa hailete uhalisia wa agenda ya serikali kusaidia maskini, wengine wamenyimwa mikopo kabisa wakati walistahili kupata. Sasa najaribu kuangalia hawa waandishi wa habari waliopata furusa mhimu kabisa ya kumuuliza raisi swali lolote na wakachemka vibaya kwenye masuala ya elimu ya juu.
Sign In or Register to comment.