Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

UKUBWA WA DARASA UNACHANGIA KUTOA ELIMU DUNI

Unakuta lecture room zingine ni kama theater au lab zaidi ya wanafunzi 300 wanafundishwa na lecture muda mmoja, sehemu zingine unakuta hadi wanafunzi zaidi ya 600 wapo kwenye kipindi. Sasa wanachuo wenzangu mnaona hivi ni sahihi?

Comments

Sign In or Register to comment.