Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

In this Discussion

Mambo mhimu mwanachuo anayotakiwa kufanya akiwa anaingia chuoni kwa mara ya kwanza

Watu wengine tulikubwa na hali ya sintofahamu pale tulipokuwa tunajiunga vyuoni kwa mara ya kwanza. Kitu cha kwanza ukijiunga chuoni, jua main administration building, lecture rooms ya course zako, main library na sheria na taratibu za chuoni. Kwangu mie nafikiria hayo ndio mambo ya mhimu kabisa, wadau mnaweza kuongezea.

Comments

Sign In or Register to comment.