Howdy, Stranger!

It looks like you're new here. If you want to get involved, click one of these buttons!

TABIA ZA BAADHI YA LECTURERS NA WANAFUNZI KUINGIA DARASANI WAKIWA WAMELEWA

Mimi hii hali nilishawahi kuishuhudia katika chuo x (sitakitaja), lecturer anakuja amelewa sio mara moja tu hapana yaani ni kama kawaida yake na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na dean of students, naona yupo tu na ulevi wake uko palepale. Sasa kama kweli tunaheshimu elimu kama ufunguo wa maisha na kutusaidia kuondokana na umaskini kweli kwanini sheria isiweke kutoruhusu mtu kufanya kazi huku amelewa hasahasa mwalimu. Wanafunzi pia wapo na tabia hii, ya kungia lecture room wakiwa wamelewa, mtu hayupo sawa na ananuka pombe lakini anakuja darasani, unategemea nini.

Comments

Sign In or Register to comment.